Tuesday, August 7, 2012

utabili

Tukuwa katika mahojiano kuhuhu mitandao ya kijamii maeneo ya sokoni kwa Urasa. Watu wengi wanasikia habari kuhusu mitandao ya kijamii lakini wengi wao hawajui jinsi ya kutumia na matumizi yake kwa ujmla. Kigamboni Community Centre inatoa nafasi kwa watu wote wanaohitaji kujua  na kujifunza jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii.thank you mr Brent for training. by Lameck cassava

No comments:

Post a Comment